Magazeti

Sikiliza hapa magazeti niliyokurekodia wakati yakisomwa na kuchambuliwa kupitia Power Breakfast

on

PopulationKama hukupata nafasi ya kusikiliza radio asubuhi ya leo sababu yoyote ile, nimekuwekea hii post na unaweza kutumia dakika 16 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo Novemba 13 2014, hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments