Top Stories

Kutoka Donge Tanga kwa Mzee Majuto hizi hapa PICHA 20

on

Leo August 10, 2018 Maelfu wamejitokeza kuusindikiza Mwili wa Nguli wa Sanaa ya Uigizaji nchini Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto hapa nakusogezea PICHA Mwili wake ukipelekwa Msikitini kabla ya kwenda eneo alilochagua kuzikwa.

HISTORIA: Alivyopata jina Majuto | Kuacha Jeshi | Rekodi anayoshikilia | Umauti

Soma na hizi

Tupia Comments