Top Stories

Dada aliepostiwa na Trump, kaongea video call na Messi, apata dili la Mamilioni (+video)

on

Mwanadada ambaye miezi kadhaa iliyopita alijizolea umaarufu duniani baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kumpost katika ukurasa wake wa Twitter akipiga danadana na kwa kiwango cha juu hali iliyowavutia Makampuni makubwa ya vifaa vya michezo duniani kumtafuta na kumpa mkataba wa ubalozi.

Akizungumza na AyoTV amesema wakati anaongea na Mawakala wa kampuni ya Nike aliweza pia kuongea na Mwanasoka bora wa Duniani kutokea Barcelona Lionel Messi kwa njia ya video call kutumia mtandao wa Whatsapp.

KAMISHNA AOMBWA KUWAPA VYETI WAFUNGWA WANAPOMALIZA KIFUNGO

Soma na hizi

Tupia Comments