Burudani

Balaah! Mstaafu Kikwete alivyopiga fataki nyumbani kwake (+video)

on

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa mkesha wa kuupokea Mwaka Mpya 2019 akiwa kijijini kwake Msoga amewaburudisha Wananchi kwa kuwaandalia show ya Wasanii wa Band ya Sikinde pamoja na Wasanii wa kizazi kipya Bushoke na Dulla Makabila ambao wametumbuiza bure.

Hapa ni Mafataki yalipowashwa nyumbani kwa Mstaafu Kikwete na yeye akishuhudia, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

BUSHOKE NA BABA YAKE WAIBUKIA NYUMBANI KWA KIKWETE TAZAMA SHOW YAO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments