Top Stories

Sugu amuita Mama Samia REJETA | “Mpe salamu Rais Magufuli | Taifa lipata tabu sana”

on

Leo July 28, 2018 Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Joseph Mbilinyi amepewa nafasi ya kuzungumza katika Mkutano wa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan nakumuita yeye ni Rejeta pale nchi inapokua ya moto yeye hupooza.

Pia Sugu amemuomba Makamu wa Rais amfikishie salamu zake kwa Rais Magufuli na amuelezee kuna watu wanakiuka agizo lake la kutofanya siasa mpaka 2010.

LIVE MAGAZETI: ‘Viongozi CHADEMA Wamefungwa’, aliyeachiwa mauaji ya Bilionea Msuya aeleza mazito

Soma na hizi

Tupia Comments