Video Mpya

AudioMpya: Kuna hii ‘Homa’ toka kwa Tros Mashine karibu

on

Kutoka Jiji la Kijani, Green City Mbeya Tros Mashine leo August 17, 2018 ametuletea wimbo wake mpya unaitwa ‘Homa’, ni mikono ya Ma-Producer wawili Jay_Wilz na Mixing akiwa kasimamia Gachib…Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza.

Vee wa Uganda Kolabo na Diamond na AY? | Atufungukia Ufalme wa Saida Karoli

Soma na hizi

Tupia Comments