Top Stories

MSIBA WA MZEE MAJUTO: Rais Magufuli alivyoibuka ghafla kuaga mwili

on

Rais Magufuli ameungana na wasanii, ndugu, jamaa na marafiki katika kutoa heshima za mwisho kwa msanii mkongwe nchini Mzee Amri Athuman maarufu “King Majuto” ambaye mwili wake umeagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam na baadaye kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Tanga kwa mazishi.

Viongozi wengine waliohudhuria tukio hilo ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete, Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubery Ali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

RAIS MAGUFULI AMLILIA MZEE MAJUTO “SITOSAHAU UCHESHI WAKE”

Mapokezi aliyoyafanya Rais Magufuli kwa Museveni | “Amekuja leo anaondoka leo’Soma na hizi

Tupia Comments