Top Stories

Mtoto wa Mama Ntilie alieanza kwa kuuza Mihogo sasa anamiliki Shule inayoongoza TZ

on

Kila mtu aliefanikiwa katika maisha anayo njia yake aliyopitia ili kufikia alipo kuna wengine walipewa mitaji na Wazazi wao wengine waliatafuta wenyewe kwa kujinyima kwa kile kidogo walichopata.

Leo November 8, 2018 kwenye Exclusive Interview na AyoTV , Ndelle Mwaselela ambaye ni Mmiliki wa Shule ya St. Patrick ambayo imekuwa ikifanya vizuri katika matokeo ya Kitaifa ametuelezea alivyoanza safari yake ya maisha mpaka kumiliki shule hiyo.

Mwaselela anaanza kwa kusema yeye ni Mtoto wa Mama Ntilie kwa hiyo alianza kwa biashara ya kuuza Mihogo ambayo alifundishwa na Mama yake na aliuza katika Shule zilizokuwa zinamzunguka na hela aliyopata aliiweka.

Mambo 7 aliyozungumza Rais Magufuli leo “tengeni siku mbili mkatalii bure”

Soma na hizi

Tupia Comments