Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kinyango kinauzwa Milioni 30, Rais Magufuli aombwa kununua (+vide)

on

Andrew Costa ama unaweza kumuita Ngurumo ni mmoja kati ya wachongaji maarufu wa vinyago katika eneo la Mwenge kwenye vinyago Jijini DSM ambapo licha ya ulemavu wake wa jicho moja amechonga kinyago cha Kijiji cha Ujamaa chenye thamani ya Sh.Mil 30.

Ngurumo amemuomba Rais Magufuli kumuunga mkono kununua Kinyago hicho ili pesa atakayopata aweze kujitibia jicho lake na kuihudumia familia yake.

NAPE ATINGA KWA MIGUU IKULU KUOMBA ASAMEHEWE “SINA AMANI, NAKOSA USINGIZI “

Soma na hizi

Tupia Comments