Leo October 16, 2018 Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hanspope amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayomkabili.
April 2018, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushqa (TAKUKURU) ilitangaza dau nono la Shilingi Milioni 10 kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa mfanyabiashara huyo na mwenzake Frank Lauwo.
Maagizo ya RC Makalla kwa Wakuu wa Wilaya wawili juu ya kero “Msinifikishe pagumu”