Top Stories

RC Makonda awataja Baadhi ya Mashoga hadharani Leo

on

RC Makonda amewataka wakazi wa DSM kufuta video na picha za ngono zote walizonazo kwenye simu zao, ili kujiepusha kukumbana na rungu la TCRA.

RC Makonda amesema ipo siku TCRA watafanya ukaguzi kugundua nani anahusika na kuvujisha video za ngono mitandaoni, na itakuwa aibu iwapo mtu mzima au kiongozi wa serikali kukutwa nazo.

Pia ametaja majina ya baadhi ya watu ambao wanajitangaza mitandaoni “Jana nilipokea msg takriban 5,700 leo zimefika msg 18,972, hao wote wanalaani, endeleeni kutuma msg ili tufike hatua ya kutokomeza kabisa suala zima la machangudoa, madanguro na ushoga” RC Makonda

LIVE: RC Makonda akitangaza kamati itakayotokomeza mashoga

Soma na hizi

Tupia Comments