Top Stories

TOP 8: TAZAMA HALAFU NIAMBIE IPI NI STENDI KALI TANZANIA (+video)

on

Wengi wetu tumesafiri Mikoa mbalimbali Tanzania na kwa wale wenzangu ambao hamjapata Fursa ya kutembeea Mikoani hapa nimekusogezea muonekano wa Vituo 8 vya Magari nchini Tanzania, Pia unaruhusiwa kutaja ni mkoa gani ambao una kituo bora kuliko vyote. Nishushie COMENT YAKO PIA KAMA KUNA VINGINE VIKALI SIJAVIWEKA HAPA.

UNAWEZA KUFUNGA KWA KUSEMA NI SHUSHIE COMMENT YAKO HAPA CHINI MKOA GANI NI NAMBA MOJA NA WA MWISHO UPI?

”Lowassa aliondoka CCM na Mafuriko, Leo ni CCM” Kubenea

 

Soma na hizi

Tupia Comments