Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Serikali yawapa siku nne Wanunuzi wa Korosho “la sivyo”

on

Leo November 9, 2018 Serikali imetoa siku nne kwa wanunuzi wote 35 waliojiandikisha kununua Korosho wawe wamepeleka barua katika Ofisi ya Waziri Mkuu wakionesha kiasi cha tani wanazohitaji na lini watazichukua.

“Hivyo wanunuzi waliojiandikisha wakiwemo na wale wote ambao wamekuwa wananunua kwenye minada lakini kwa kiasi kidogo, wahakikishe ndani ya siku nne kuanzia leo Ijumaa hadi Jumatatu saa 10 alasiri wawe wameleta barua na ofisi yangu ipo wazi saa 24” Waziri Mkuu

 

DC Chunya alivyozama porini kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji

Soma na hizi

Tupia Comments