Top Stories

Diwani wa Zitto ahamia CCM, aendelea kumtaja Rais Magufuli na Ole Nasha

on

Leo October 19, 2018 Diwani wa Kata ya Sale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Jeremiah Sagoyani amejiuzulu nafasi zake nakujiunga na CCM kwa kile alichosema kuwa anaunga mkono utendaji kazi wa Raisi JPM.

Sagoyani “Sehemu nyingine wanapata maendeleo kwa sababu Madiwani wa maeneo hayo ni wa chama tawala, Serikali inashindwa ingilia katika migogoro ya hapa kwetu sababu pale CHADEMA kule ACT, najiuzulu rasmi na najiunga na CCM”

Soma na hizi

Tupia Comments