Top Stories

Maisha ya Ukuu wa Wilaya bila Mume, DC afunguka “sijapata mtu sahihi” (+video)

on

Leo December 15, 2018 Tunaye Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora Gift Msuya ambapo anatuelezea maisha yake ya Ukuu wa Wilaya pamoja na mipango yake ya baada na nje ya U-DC ni kitu gani angependa kufanya.

DC Gift anakuambia “Changamoto zipo muda mwingine unatoka kazini umechoka unahitaji uate mtu wa kukutia moyo, unapotaka mtu wa kukushauri unakosa wa kipindi kile, nimekosa mtu sahihi wa kuanza nae maisha”

MKUU WA WILAYA ALIESOMA MAREKANI ‘ANAITAMANI’ WIZARA YA WAZIRI UMMY

Soma na hizi

Tupia Comments