Video Mpya

VideoMpya: Chorus Driver alietuletea Hamorapa, Em ONE katuletea ‘Uhondo’

on

Leo October 9, 2018 Nakusogeza Chorus Driver katika ngoma ya kwanza ya Hamorapa ‘Usigawe pasi’ Em One ametuletea video ya Wimbo wake mpya unaitwa ‘Uhondo’ ikiwa imeongozwa na Poshadanta.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuweka comment yako ili Em One akipita aone umeipokeaje video yake.

TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE

Soma na hizi

Tupia Comments