Video Mpya

VideoMpya: Fabrice J Prince anakukaribisha kuitazama ‘Bila wewe’

on

Leo November 27, 2018 Nimepokea hii video mpya ya Muimbaji wa Gospel Fabrice J Prince wimbo unaitwa ‘Bila Wewe’ ikiwa imeongozwa na Kwetu Studios na Audio imetengenezwa na Love Music Production… Bonyeza PLAY hapa chini kutama pia usisahau kuacha comment ili Fabrice aone umepokeaje wimbo wake.

WADOGO WA ASKOFU CHENGULA WAELEZA MANENO YA MWISHO ALIYOONGEA ASKOFU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments