Top Stories

RC Mwanri apewa maagizo na Rais Magufuli “ameniambia shauri yangu” (+video)

on

Baada ya kuzuia likizo kwa watumishi katika Mkoa wa Tabora, Mkuu wa Mkoa Aggrey Mwanri amenza ziara ya kutoa mafunzo kwa wakulima katika Halmashauri zinazolima zao la Pamba kutokana na Mkoa huo kupewa dhamana ya kuzalisha mbegu za zao hilo.

“Ukiona mtu analima au anafuga hovyohovyo hapa jua tatizo ni betri, unaanza kuruka kama mganga wa kienyeji utafikiri Sangoma, watu wanapokudharau au wanapokuheshimu ni kutokana na kaa kaa yako” RC Mwanri

BREAKING: Rais Magufuli akutana na Vigogo wa TUCTA, NSSF, PSSSF NA SSRA – Ikulu DSM

Soma na hizi

Tupia Comments