Mgombea Ubunge Jimbo la Korogwe vijijini kupitia CCM Timotheo Mnzava amezungumza kwenye Exclusive Interview na Ayo TV nakusema Marehemu Majimarefu alishamtabiria kuwa atakuwa Mbunge wa Jimbo hilo pia ameeleza juu ya video zilizokuwa zikisambaa zikidai alihusika kununua Madiwani nakusema sio za kweli na watu walikuwa wakicheza michezo ya kisiasa.
Saimon Petro ahukumiwa miaka 30 jela kwa kuzini na Binti yake