Michezo

Haji Manara alivyoingia Taifa sio De Le Boss tena ila “King De Le Boss”

on

Leo August 8, 2018 ni Simba Day inayofanyika katika Uwanja wa Taifa hapa nakusogezea video ikimuonyesha Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara akiingia uwanjani Taifa na kusalimia mashabiki, Manara huwa anajiita AKA De Le Boss ila leo kajiongezea jina katika jezi yake anajiita ‘King De Le Boss’

SIMBA DAY: Haji Manara akicheza Muziki na Mwasiti na Luiza Mbutu

LIVE shangwe wanalopigiwa Chid Benz na Mwasiti Simba Day Taifa

Soma na hizi

Tupia Comments