Habari za Mastaa

Picha Mbunge wa Mbeya Sugu akiingia Kanisa kufunga ndoa

on

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ leo August 31, 2019 anafunga ndoa Takatifu na Mchumba wake Happiness Msonga katika Kanisa Katoliki Ruanda.

EXCLUSIVE: BILNASS NA NANDY WASIMULIA WALIVYOANZA MAPENZI ‘SIKU HIYO TULIACHA WAZI MLANGO WA CHUMBA’

Soma na hizi

Tupia Comments