Top Stories

PICHA 17: Kutoka Karimjee Mwili wa Mzee Majuto ukiagwa, President JPM, Kikwete na wengine

on

Mwili wa Mzee Amri Athuman maarufu Mzee majuto, King Majuto umeagwa katika Ukumbi wa Karimjee Jiji DSM na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Magufuli, Mstaafu Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda, Sheikh Mkuu wa Tanzania Zubery, Msanii Diamond Platnumz na wengine….Nakusogezea PICHA kutoka Karimjee Hall

RAIS MAGUFULI AMLILIA MZEE MAJUTO “SITOSAHAU UCHESHI WAKE”

Soma na hizi

Tupia Comments