Top Stories

Siku 5 za Waziri Kalemani kwa Mkandarasi Dodoma “hakuna msamaha” (+video)

on

January 9, 2019 Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amefanya ziara ya kushitukiza katika baadhi ya vituo vya kupoozea umeme katika Mkoa wa Dodoma ambapo ameagiza Mameneja wote nchini kuhakikisha wanawaunganishia wananchi umeme kwa wakati bila kutoa visingizio vya kukosekana kwa nguzo.

RC MWANRI NA WAKANDARASI WAHINDI “SOMA HUKO INJINIA HUU NI MKOROGO”

Soma na hizi

Tupia Comments