Top Stories

MSIBA WA MZEE MAJUTO: Kweli ni KING, Tanga kama yote kuelekea Msikitini Tanga

on

Leo August 10, 2018 Tanga kama yote imejitokeza kuusindikiza Mwili wa Nguli wa Sanaa ya Uigizaji nchini Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto ambapo hii video nakusogezea Mwili wake ukipelekwa Msikitini kabla ya kwenda eneo alilochagua kuzikwa.

HISTORIA: Alivyopata jina Majuto | Kuacha Jeshi | Rekodi anayoshikilia | Umauti

MSIBA WA MZEE MAJUTO: LIVE kutoka Tanga maelfu wajitokeza Msafara ukielekea Msikitini

Soma na hizi

Tupia Comments