Top Stories

Kamanda Mwanza na taarifa za Mtu kujirusha ghorofani bila kutokwa damu wala kuvunjika

on

Kamanda wa Polisi Mwanza ACP Jumanne Muliro amekanusha taarifa ya mtu anaedaiwa kujirusha kutoka ghorofa ya mwisho Hotel ya Gold Crest Jiji Mwanza.

Ambapo uchunguzi wa awali unaonesha mtu huyo hana majeraha yoyote ambayo yanaonesha amefariki kutokana kujirusha ghorofani.

ATHARI ZA MVUA: MAMBO MATATU YA KUSHANGAZA KATIKA MAFURIKO YA JANGWANI

Soma na hizi

Tupia Comments