Top Stories

Mdai kodi harusini kaibukia kwenye mechi CCM Kirumba

on

Leo August 28, 2018 Afisa Ardhi Halmashauri ya Jiji la Mwanza Halima Idd Nassor ambaye amekuwa gumzo kutoka na style yake ya kudai kodi katika maeneo kama Harusi, amejitokeza CCM Kirumba na kugawa vipeperushi vya kuhamasiha Watu kulipa kodi.

Akizungumza katika Exclusive Interview na millardayo.com na AyoTV amesema anafanya hivyo sababu ndio chanzo cha maendeleo yote ambayo tunayaona kama vile ujio wa ndege mpya.

EXCLUSIVE: “SUMU NDIO CHANZO CHA MIMI KUUMWA” – OMMY DIMPOZ

 

Soma na hizi

Tupia Comments