Ad

Top Stories

Zilivyopokelewa salamu za Rais Magufuli Jimboni kwa Mwigulu Nchemba

on

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba yupo katika ziara ya kikazi mkoani Singida ambapo amefikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Magufuli kwa wananchi wa Jimbo hilo.

Mbali na salamu hizo Makamba amezungumza Wananchi hao utofauti uliopo wa Ziwa Tangiri katika kipindi cha Miaka ya Tisini na lilivyo sasa ambapo sasa kina cha maji kimepungua.

MHESHIMIWA JOKATE ASHUHUDIA TIMU YAKE IKIFUNGWA

 

Soma na hizi

Tupia Comments