Top Stories

Maafande waimbaji watuma ombi kwa Viongozi, wamtaja Rais Magufuli, Jah Prayzah, Alikiba

on

Baada ya kutoka kwa Video ya wimbo wa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha (Tanzania Police) unaitwa ‘Kazi yao’ ambayo wameimba mazingira wanayokumbana nayo Polisi wakiwa kazini katika kukabiliana na wahalifu.

Leo tumepata Exclusive interview ambapo wametuelezea sababu za kuimba wimbo huo wenye uhalisia wa kazi zao nakusema Rais Magufuli huenda akawa ameusikia.

HISTORIA: Alivyopata jina Majuto | Kuacha Jeshi | Rekodi anayoshikilia | Umauti

Soma na hizi

Tupia Comments