Top Stories

“Kufaulu sio nguvu kama ni nguvu Shule za Jeshi zingekuwa za kwanza”

on

Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk Charles Msonde, July 11, 2019 Mjini Unguja Zanzibar alitangaza matokeo ya Kidato cha Sita ya mwaka 2019 na kusema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 98.32 mwaka 2019 ikiwa ni sawa na asilimia 0.74.

AyoTV na millardayo.com imezungumza na Mdau wa Elimu nchini ambae pia ni Mkurugenzi wa Shule ya Patrick Mission Ndele Mwaselela, ambayo imeingia katika idadi ya Shule 20 bora zilizofanya vizuri .

WAKUU WA MIKOA WALIOPEWA PONGEZI ZA UFAULU WA WANAFUNZI, MWANRI JE?

Soma na hizi

Tupia Comments