Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

Rais wa Chuo ampokea alietengeneza pikipiki “usitumie umaarufu” (+video)

on

Baada ya Kijana Zubari Abdallah Kufika Chuo cha Ufundi Stadi VETA Kigoma kuripoti kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kuanza kujifunza ufundi magari na pikipiki alipokelewa na Wanafunzi wenzake pamoja na wanafunzi kuomba ushirikiano wake.

Rais wa Chuo ameongea AyoTV na kusema asichukue umaarufu wake kwa kuvunja sheria inatakiwa afate sheria za chuo kama wengine.

KIJANA ALIETENGENEZA PIKIPIKI APELEKWA VETA KUSOMEA UFUNDI WA MAGARI

 

Soma na hizi

Tupia Comments