Top Stories

KWA LOWASSA TENA: Mwenyekiti wa Halmashauri atoka CHADEMA arudi CCM

on

Leo August 11, 2018 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na Diwani wa CHADEMA Kata ya Monduli Mjini, Isack Joseph amejiuzulu nafasi yake na Kujiunga na CCM.

Amesema kuna wengine wanabeza kuwa kila anaeondoka anaunga mkono shughuli za Rais, ila ni ukweli Rais amefanya mambo mengi hususani vijijini.

Mwenyekiti wa CUF Mtatiro alivyotangaza kwenda CCM, aweka wazi dhamira

Soma na hizi

Tupia Comments