Top Stories

Askari aliyepandishwa cheo na IGP, aongoza katika riadha Japan

on

Baada ya IGP Simon Sirro kumpandisha Cheo askari Fabiam Nelson kutoka Konstebo hadi Koplo baaada ya kushinda Mita 5000 katika mashindano ya EAPCCO. Leo amepokelewa na Kamanda wa Polisi Arusha Ramadhan Ng’anzi baada ya kushinda tena kwenye nafasi ya kwanza kwenye Half marathon nchini Japan nakupewa medali ya dhahabu.

Mtanzania na Mzungu wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro, hawakufika Kileleni (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments