Top Stories

BREAKING: Diwan Athuman ateuliwa kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa

on

Leo September 12, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amteua Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

 

NYOKA WA MAAJABU WANANCHI WAMPA ZAWADI WABARIKIWE, WALIOMPIGA WAMEKUFA WOTE

Soma na hizi

Tupia Comments