Top Stories

Zitto amjibu Waziri Lugola “Hauna mamlaka hayo, kwanza mpate yule Mbwa”

on

Leo July 31, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amemtaka Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ajisalimishe kwa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi kwa kufanya Mkutano katika Jimbo lisilo lake.

Muda mfupi baada ya agizo hilo Zitto Kabwe amejibu kupitia ukurasa wake wa Twitter “Waziri hana hayo mamlaka. Kama polisi wananitaka watoe wito wa kisheria nitakwenda. Naendelea na kampeni za Mbunge wa Buyungu ambapo tunamwunga Mgombea wa CHADEMA na madiwani wa ACT Wazalendo kwenye kata kadhaa. Nashauri Waziri ampate kwanza yule Mbwa wa Polisi Bandari”

BREAKING: Lugola “Zitto popote alipo ajisalimishe Polisi | IGP muwajibishe OCD Kilwa”

Soma na hizi

Tupia Comments