Top Stories

Barabara ya kwanza hadi 21 Tanga, Wananchi wafunguka kwa nini ikawa hivyo (+video)

on

Kama hujafika Mkoani Tanga utakuwa umesikia uwepo wa barabara ya kwanza, saba mpaka ya ishirini na moja na hujui hizo barabara zikoje na zinatambulikaje, leo AyoTV na millardayo.com imeongea na Wananchi wa Tanga wametueleza wao wanavyozitambua.

MAKAMU WA RAIS ATOA UJUMBE WA RAIS MAGUFULI “NI JAMBO LA KUSIKITISHA, NIPO TAYARI”

Soma na hizi

Tupia Comments