Top Stories

Mkurugenzi akataa pongezi za Jafo ” si ishu, nimpongeze Meya wa CHADEMA” (+video)

on

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha amekataa pongezi za Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo za Jiji la Arusha kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato ambapo Jiji la Arusha limeongoza asilmia 105 za makisio nakusema pongezi hizo ni za Watumishi na sio za kwake binafsi huku akisema bado hawajafikia lengo walilokuwa wakilihitaji.

LIVE: “TUPENI HUO UJANJA NYIE MNAFANYAJE MMEFANIKIWA” MAGUFULI KWA RAMAPHOSA

Soma na hizi

Tupia Comments