Top Stories

Waziri Mkuu ambana Afisa, aagiza TAKUKURU imchukue (+video)

on

Waziri Mkuu Majaliwa ametoa agizo kwa Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda amkamate Afisa Manunuzi wa Chuo cha Ualimu Kinampanda, Francis Muyombo kwa kukiuka taratibu za manunuzi ya Serikali na kughushi nyaraka.

WAZIRI MKUU AWAPA MAAGIZO TAKUKURU “FUATILIA KWA KINA WATUMISHI 48 UPOTEVU WA FEDHA”

Soma na hizi

Tupia Comments