Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

LIVE: Rais Magufuli akifunga Mkutano wa SADC

on

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli anafunga mkutano wa 39 wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es Salaam.

LIVE: UFUNGUZI WA MKUTANO WA 39 WA SADC

Soma na hizi

Tupia Comments