Top Stories

Good news: Hiki hapa Kivuko kipya Mwanza, Tazama kilivyoshushwa majini

on

June 17, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella ameongoza wakazi wa Mwanza kushuhudia ushushwaji wa Kivuko kipya ndani ziwa Victoria kwa mara ya kwanza, Kivuko kilichopewa jina la Mv. Mwanza na kitafanya kazi kati ya Kivuko cha Kigongo Ferry Mwanza na Busisi Sengerema.

Kivuko hicho kipya kinaukubwa wa tani 250, kinauwezo wa kubeba abiria 800 wa kukaa, 200 wa kusimama pamoja na magari 36 kwa wakati mmoja.

LIVE MAGAZETI: Zitto: Bajeti inatia shaka, Basi la Mbunge Msukuma lauwa watano

Soma na hizi

Tupia Comments