Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

Mbwembwe za mashabiki wa Simba Kigoma waandaa msosi na wa yanga (+video)

on

Mashabiki wa Simba katika maeneo ya Mtaa wa Ujiji Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma wameandaa kwa mara ya pili chakula cha pamoja na kuwakaribisha Mashabiki wa Yanga kujumuika kusherehekea ubingwa kwa mara ya pili mfululizo wa Ligi Kuu nchini kama kawaida vijembe na utani vilikuwa sehemu ya furaha yao kipindi wakina Mama hawa wakiandaa chakula hicho.

RC MBEYA ALIVYOKUBALI MKURUGENZI WAKE ‘KULIWA KICHWA’

Soma na hizi

Tupia Comments