Kila sehemu kuna Utamaduni wake na aina tofauti za maisha, sasa AyoTV imepita katika stand ya magari madogo (daladala) zinazotumika kusafirisha abiria sehemu mbalimbali ndani ya Jiji la Arusha kuangalia tu misemo mbalimbali ambayo imeandikwa kwenye daladala.
SUGU AKIVALISHWA PETE NA MKEWE “UAMINIFU WANGU KWAKO”