Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

Nabii alivyokamatwa kwa agizo la Waziri Lugola (+video)

on

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameagiza kukamatwa kwa Nabii Eliya Samwel Mahela wa Kanisa la Pentecostal Power Ministry la Kimara Temboni kutokana na wakazi wa eneo hilo kulalamikia Kanisa hilo kupiga makelele.

PART 1: MAISHA YA MAPENZI YA MUGABE, MKE WA KWANZA ALIEKIMBIA NCHI YAO KISA MUGABE

Soma na hizi

Tupia Comments