Leo October 18, 2018 Kamati Kuu ya CHADEMA, imewavua nafasi zote za Uongozi na kuwaweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, Saed Kubenea na Anthony Komu baada ya kukiri kusambaza sauti iliyolenga kudhohofisha chama.
Maamuzi hayo yametolewa baada Kubenea na Komu wamekiri kuwa sauti zilisombaa katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita ni za kwao.
Kampuni ya MO DEWJI yafunguka kusitisha uzalishaji