Top Stories

Musukuma hataki wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wateseke, katoa gari (+video)

on

January 6, 2019 Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Musukuma ametoa Gari kwenye Jimbo lake ambalo litatumika kutoa ushauri nasaha kwa Watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI.

Mbunge Musukuma amesema hela alizonunulia gari hilo sio za Mfuko wa Jimbo ila ni hela zake anazikusanya katika biashara zake binafsi.

JANUARY MC PILIPILI KAMVISHA PETE MCHUMBA AKE HUKU AKILIA

Soma na hizi

Tupia Comments