Mwanamitindo Staa kutoka Tanzania anaeishi nchini Canada Olza Boy ameachia brand new video inaitwa ‘My Tattoo’ imeshutiwa nchini Canada, Director ni LK Visual. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama
RC MWANRI AMVAA MHINDI KISA WAFANYAKAZI “WHERE IS MIKATABA NOW, BISHA UONE”