Video Mpya

VideoMpya: Double release msomi wa Phd anakusogezea ‘Hatari’ na ‘Mamacita’

on

Jamaa anaitwa Goodnight Collegi anasoma PhD katika Chuo Kikuu cha DSM ndie mmiliki wa studio ya Jikoni iliyopo Kijitonyama anakusogezea Double release ya Ngoma zake mbili ya kwanza ni ‘Mamacita’ na ya pili ni ‘Hatari’

Hii hapa MAMACITA

Hii hapa pia HATARI

” Daddy naumia” aliongea Patrick kabla hajafariki “akaelekea ICU” Lwaga

Soma na hizi

Tupia Comments