Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Afrika hakuna anaetuzidi kwa Maliasili, watalishwa watu Milioni 240” Waziri Kigwangalla (+video)

on

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla akifungua Mkutano wa mwaka wa TANAPA na Wahariri wa Vyombo vya Habari Mkoani Mwanza amesema Tanzania ina Maliasili ya Maji baridi kuliko nchi yoyote Duniani hivyo amewaomba Wanahabari kuwahamasisha Wananchi kuhifadhi Maliasili hiyo kwa vizazi vijavyo.

“Haya maji baridi tuliyonayo yatakuja kuwa utajiri mkubwa, duru za utawala na diplomasia duniani zinazungumza kama itatokea Vita Kuu ya Tatu ya Dunia haitakuwa kama hizo zilizopita itakuwa ni kwa sababu ya maji baridi na sisi tayari tunayo yakutosha” Waziri Kigwangalla

RAIS MAGUFULI KUZINDUA HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI CHATO

Soma na hizi

Tupia Comments