Top Stories

“Nimepita nyumba kwa nyumba, nimepata tabu sana siwezi kukubali” Waziri Kalemani.

on

Leo July 22, 2018 Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amekagua mradi wa umeme vijijini REA uliocheleweshwa wilaya ya Nyamagana kata ya Buhongwa mtaa wa Nyakagwe na kutoa maagizo kwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.

“Nimepita nyumba kwa nyumba, Mtaa kwa mtaa, mmepata tabu sana siwezi kukubali, Mbunge kanieleza mengi sana tumekuja kutatua kero ya umeme, Maneja naomba muanze kazi leo msipoanza mtachukuliwa hatua” ni maneno ya Waziri wa Nishati Kalemani

LIVE MAGAZETI: Fupa la Kitwanga na Mwigulu balaa, Askofu atikisha kwa utapeli

Soma na hizi

Tupia Comments