AyoTV

Balaa la Dogo stejini lamfanya Waziri Makamba acheze ‘Makulusa’ (+video)

on

Leo June 3, 2018 Kumefanyika tamasha la Nitunze Nikutunze lenye dhumuni la kuhamasisha utunzaji wa mazingira ambapo mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba.

Katika tamasha watu mbalimbali walionesha vipaji vyao mmoja wapo ni Kijana Saadat Isaamil ambaye alionesha kipaji cha kucheza, kwa uwezo wake Waziri Makamba akanyanyuka na kupanda stejini >>>Bonyeza PLAY hapa chini kutazama balaa la Dogo Saadat

Noma!! Tazama LIVE Roma na Fid Q walichokifanya Stejini Mbagala

LIVE: JPM aunda ‘jeshi’ jipya, Ripoti ya Bunge yawaweka mitegoni Mawaziri

Soma na hizi

Tupia Comments