Top Stories

PICHA 6: Lowassa, Sumaye, Prof. Safari walivyofika Mahakamani

on

Mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye ameudhuria katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kufuatilia hatma ya kesi ya viongozi 6 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe kama watapata dhamana au wataendelea kusota rumande.

 

MAZISHI YA ALLEN: Baba Mzazi ameeleza alichoambiwa na Mwanae kabla ya kufariki

Soma na hizi

Tupia Comments